Stergomena Tax

Stergomena Tax

Stergomena Lawrence Tax (amezaliwa 6 Julai 1960) ni mtumishi wa umma wa Tanzania ambaye aliwahi kuwa Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). [1] [2]. Kwenye Septemba 2021 aliteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi wa Tanzania akiwa mwanamke wa kwanza kuongoza wizara hiyo.

Tarehe 3 Oktoba 2022, Stergomena Tax aliondoka katika wizara hii akipewa nafasi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania.[3]

  1. "Communique of the 33rd Summit of SADC HOSG" (PDF). SADC. 18 Agosti 2013. Iliwekwa mnamo 19 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Ahmed, Maulid (19 Agosti 2013). "Kikwete ends notable SADC term". Daily News (Tanzania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-23. Iliwekwa mnamo 19 Agosti 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. La présidente tanzanienne remanie son gouvernement et met en garde ses rivaux , tovuti ya Sauti ya Marekani, tar. 03.10-2022

© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search